Mwangata football transfer gossip: Ronaldo, Oxlade-Chamberlain, Aubameyang, Hart Chelsea wataingia mbioni kusaka huduma za Alex Oxlade-Chamberlain kutoka Arsenal huku Liverpool na Manchester city wakivutiwa na kiungo huyo kutoka England (Mirror). .Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo, 32,hataibana sana Manchester united kuhusiana na Mshahara wake mkubwa ili kuhakikisha anarudi old Trafford msimu ujao kabla ya dirisha la usajili kukamilika mwezi Agosti.( Sun) Vile vile, Manchester united wana uhakika wa kumpata Ronaldo. (Daily Express) Na meneja wa Man U José Mourinho amekataa kumsajili Ronaldo (Daily Star) Mabingwa wa LA liga real Madrid hawajapokea ofa ya mchezaji yoyote-hata Alvaro Morata anayewindwa na man U-hii ni kulingana na rais wa Real Madrid Florentino Perez. (Onda Cero, via the Sun). Manchester City wanaandaa dau la kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund na raia wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang,28.(Sky sports). are preparing a bid for Borussia Dortm...
Maoni
Chapisha Maoni