Taifa Stars kurudi bongo Leo

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaregea nyumbani leo ikitokea nchini Misri kilikokita kambi kwa ajili ya maandalizi ya kuivaa Lesotho juni 10 katika mashindano ya kufuzu kwa michuano ya kufuzu  barani Afrika.
Stars wanatarajiwa kuonesha mafanikio ya ziara yao na mashabiki wa soka nchini wana shauku kuona timu yao ya taifa inasonga mbele katika mashindano ya kimataifa.
Baadhi ya wachezaji wa stars wakipasha misuli moto.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bellerin kuelekea Barcelona?

TETESI ZA USAJILI JUMANNE 20.6.2017

Jezi mpya ya Simba SC