starting line up

Juventus vs Real Madrid
Kila timu ipo sambamba. Bado muda mfupi sana miamba Wawili wa soka wakikutana katika fainali ya mabingwa barani Ulaya.
Dani Alves anacheza mchezo wake wa 100 katika mashindano haya. Messi ndio mfungaji bora wa mashindano hayo lakini Ronaldo ana nafasi ya kufikia historia hiyo.
Real Madrid wakishinda leo itakua Ndio timu ya kwanza kutetea taji hilo. Tusiandike na mate. Tuelekee Cardiff.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jezi mpya ya Simba SC

Tetesi za usaliji barani Ulaya Jumatatu 19.6.2017

TETESI ZA USAJILI JUMANNE 20.6.2017