Ndikumana?? Hapana


Mwenyekiti wa usajili wa klabu ya Simba,Zakariya Hanspoppe amekanusha madai kwamba klabu hiyo inawania saini ya beki wa kimataifa kutoka Burundi anayechezea klabu ya Mbao fc hapa nchini Tanzania,nohadha Yusuph Ndikumana.
Hanspop aliyekuwa ameelekea nchini Burundi inadaiwa kuwa alienda kukutana na beki huyo kisiki ili ajiunge na wekundu wa msimbazi bila kumuhusisha wakala wake ambapo ni kinyume na utarat

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bellerin kuelekea Barcelona?

TETESI ZA USAJILI JUMANNE 20.6.2017

Jezi mpya ya Simba SC