This blog is designed to bring all football fans across the world to share ideas, information and improving our young talents in sports.
You can also advertise your business with us.
Hizi hapa ndio picha za beki mpya wa Arsenal
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
Mara tu baada ya kujiunga na washika bunduki wa London,beki huyo wa kushoto, Dead Kolasinac amepost picha zake akiwa na klabu yake mpya ya arsenal kwa mkataba wa miaka mitano.
Arsenalwamethibitisha kwamba beki wa kushoto Hector Bellerin kuwa atabakia arsenal na hawana mpango wa kumuuza. Bellerin,22, amehusishwa sana na klabu ya barcelona lakini meneja Arsene Wenger amekanusha uvumi kuwa Barcelona wameshaanza mazungumzo na arsenal . Bellerin ambae alilelewa na Barcelona alikataa kujiunga na klabu hiyo mwaka jana na badala yake akasaini mkataba wa miaka mitano.
Kampuni ya Aroma sports group ndio iliyopewa kandarasi ya kutengeza jezi watakazotumia simba msimu ujao. Simba SC imepata udhamini mpya na Kampuni ya bahati nasibu kutoka Kenya, Sportpesa ambapo itajivunia mamilioni ya pesa kutoka Kampuni hiyo. Mabingwa hao wa kombe la FA wanatarajiwa kuachana na baadhi ya nyota wake na kuongeza nguvu kikosi hicho ili kujiweka vizuri katika msimu ujao. Huu hapa ndio muenekano mpya wa jezi ya Simba SC.
Maoni
Chapisha Maoni