Jezi mpya ya Simba SC

Kampuni ya Aroma sports group ndio iliyopewa kandarasi ya kutengeza jezi watakazotumia simba msimu ujao.
Simba SC imepata udhamini mpya na Kampuni ya bahati nasibu kutoka Kenya, Sportpesa ambapo itajivunia mamilioni ya pesa kutoka Kampuni hiyo. Mabingwa hao wa kombe la FA wanatarajiwa kuachana na baadhi ya nyota wake na kuongeza nguvu kikosi hicho ili kujiweka vizuri katika msimu ujao.
Huu hapa ndio muenekano mpya wa jezi ya Simba SC.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bellerin kuelekea Barcelona?

TETESI ZA USAJILI JUMANNE 20.6.2017