Arsenal wasaini beki kutoka Bosnia

Seadon Kolasinac:Nimejiunga arsenal kushinda makombe.

Beki huyo ambaye amekuwa akichezea Shalke ya Ujerumani atakuwa mchezaji rasmi wa arsenal majira ya joto.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23,ambaye huchezea timu ya taifa ya Bosnia & Herzegovina amejiunga na arsenal bila kulipwa pesa zozote kwa kuwa bado ana mkataba na Shalke hadi Julai.AAtakuwa mchezaji rasmi wa arsenal Julai 1 dirisha la usajili litakapofunguliwa rasmi.
Shalke wamethibitisha kwamba beki huyo atajiunga na arsenal kwa mkataba wa miaka 5 hadi mmwaka 2022..

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bellerin kuelekea Barcelona?

TETESI ZA USAJILI JUMANNE 20.6.2017

Jezi mpya ya Simba SC