Sportpesa kung'oa Nanga Taifa Leo.
Nakuru All Stars wapo tayari kuivaa Simba
Timu hiyo inayoshiriki ligi daraja la pili inashiriki mashindano ya Sportpesa super cup yanayozileta pamoja timu kutoka kenya na Tanzania.Mshindi wa mashindano hayo atapata nafasi ya kucheza na klabu ya Everton fc katika uwanja wa taifa Dar es salaam.
Mashindano hayo yatang'oa nanga rasmi leo saa nane mchana wakati Singida united kutoka hapa nyumbani Tanzania watavaana na AFC Lropards kutoka Kenya.
Kocha wa Singida Pluijim amesema wamejipanga vizuri na wapo tayari kwa mechi hiyo ya ufunguzi.

Maoni
Chapisha Maoni