NYOSO. Nifuate niko poa

Beki wa zamani wa simba na Mbeya city sasa yupo huru baada ya kukamilisha kuitumikia adhabu ya miaka miwili aliyowekewa.
Amesema yupo fiti na anasubiri nani atakosa mezani kumsainisha mkataba. Je ni Msimbazi au kwengine?? Tegea hapa hapa utajua kila kila kitu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bellerin kuelekea Barcelona?

TETESI ZA USAJILI JUMANNE 20.6.2017

Jezi mpya ya Simba SC