Southampton imeishitaki Liverpool kuhusiana na Van Dijk

 
Virgil van Dijik anawindwa na Liverpool,Chelsea na Manchester city.

Klabu ya Southampton kimeitaka bodi ya ligi Kuu England kuichukulia hatua za kinidhamu Liverpool kwa kufanya mazungumzo ya siri na mchezaji wao huyo anayetaka kuhama klabu hiyo.
Southampton imekumbwa na tatizo la kutodumu na wawachezaji wake kila mwisho wa msimu. Msimu uliopita iliwapoteza wachezaji wake muhimu kama vile Sido Maine, Schneiderlin, Victor WWanyama na wengine wengi.
Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp anahusishwa na kumnyemela mchezaji huyo na kauli hii imetiwa na nguvu na aliyekuwa nahodha wa Liverpool, Steven Gerrard kuishauri Liverpool ifanye haraka kumsajili Virgil.






Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bellerin kuelekea Barcelona?

TETESI ZA USAJILI JUMANNE 20.6.2017

Jezi mpya ya Simba SC