Bellerin kuelekea Barcelona?
Arsenalwamethibitisha kwamba beki wa kushoto Hector Bellerin kuwa atabakia arsenal na hawana mpango wa kumuuza. Bellerin,22, amehusishwa sana na klabu ya barcelona lakini meneja Arsene Wenger amekanusha uvumi kuwa Barcelona wameshaanza mazungumzo na arsenal . Bellerin ambae alilelewa na Barcelona alikataa kujiunga na klabu hiyo mwaka jana na badala yake akasaini mkataba wa miaka mitano.
Maoni
Chapisha Maoni