JE UNAHITAJI UTABIRI/UBASHIRI WA MECHI MBALIMBALI?

Mwangata football imekuja kivyengine. Tunakuletea ubashiri wa kila mchezo unaohitaji ili kukufurahisha wewe shabiki wetu.
Tumefanya majaribio kwa kipindi cha miezi sita na outcome imekuwa perfect.
Hakuna kutozwa ada kwa mechi tutakazotabiri.Endelea kufuatilia blogspot yetu kwa kila kitu unachohitaji kispoti.
Tembelea ukurasa wetu wa facebook mwangatafootball kila siku upate kile unachohitaji.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bellerin kuelekea Barcelona?

TETESI ZA USAJILI JUMANNE 20.6.2017

Jezi mpya ya Simba SC