Jarmain Defoe ajiunga na Bournemouth
Mshambuliaji wa Sunderland iliyoshuka daraja amethibitisha kwamba atajiunga na Bournemouth fc msimu ujao. Defoe ameiambia mwangatafootball.blogspot.com kwamba atajiunga na klabu hiyo kwa Mshahara wa £60,000 kwa wiki.
Defoe, aliyejijengea urafiki na kijana Bradley Lowry anayeugua saratani, amesema uhamisho wake hautavunja uhusiano wake na rafiki yake huyo kwani atakuwa akimtembelea kila anapopata nafasi hiyo.
Defoe, aliyejijengea urafiki na kijana Bradley Lowry anayeugua saratani, amesema uhamisho wake hautavunja uhusiano wake na rafiki yake huyo kwani atakuwa akimtembelea kila anapopata nafasi hiyo.
Maoni
Chapisha Maoni