TETESI ZA USAJILI JUMANNE 20.6.2017

Mwangata football transfer gossip: Ronaldo, Oxlade-Chamberlain, Aubameyang, Hart
Chelsea wataingia mbioni kusaka huduma za Alex Oxlade-Chamberlain kutoka Arsenal huku Liverpool na Manchester city wakivutiwa na kiungo huyo kutoka England (Mirror).

.Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo, 32,hataibana sana Manchester united kuhusiana na Mshahara wake mkubwa ili kuhakikisha anarudi old Trafford msimu ujao kabla ya dirisha la usajili kukamilika mwezi Agosti.( Sun)
Vile vile, Manchester united wana uhakika wa kumpata Ronaldo. (Daily Express)

Na meneja wa Man U José Mourinho amekataa kumsajili Ronaldo (Daily Star)

Mabingwa wa LA liga real Madrid hawajapokea ofa ya mchezaji yoyote-hata Alvaro Morata anayewindwa na man U-hii ni kulingana na rais wa Real Madrid Florentino Perez. (Onda Cero, via the Sun).
Manchester City wanaandaa dau la kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund na raia wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang,28.(Sky sports). are preparing a bid for Borussia Dortmund and Gabon striker Pierre-Emerick Aubameyang, 28.(Sky Sports)

West Ham huenda wakakumbana na upinzani mkali kutoka Manchester united dhidi ya kumsajili kipa Joe Hart, 30, kutoka Manchester city.(Telegraph)

Dani Alves has told Juventus he wants to leave and reunite with his former manager Pep Guardiola at Manchester City.(Guardian)

Juventus have discussed terminating the contract of Alves by mutual consent, The 34-year-old's representatives have held talks with Manchester City over a potential move, while Chelsea have also been sounded out over a move for the Brazil full-back. (Daily Mail)

Southampton watafanya mazungumzo na kocha wa zamani wa Alaves Mauricio Pellegrino na huenda wakamteua kama kocha mpya wa Southampton mwisho wa wiki hii.(ESPN)

Nemanja Matic,28, huenda akaungana na meneja wake wa zamani José Mourinho katika uga wa Old Trafford . (Sun)
Barcelona watamsaini tena winga Gerrard Deulofeu,23, kutoka Everton kwa £10.5m na pia wanamfukuzia kiungo wa PSG, mtaliano Marco Verratti,24..(Daily Mail)

Everton wafanya majadiliano kumsajili beki wa timu ya taifa ya Netherlands under 18,Nathangelo Markelo,habari hizi ni kulingana na klabu yake FC Voldendam. (Liverpool Echo)

Swansea wamefanya mazungumzo na aliyekuwa nahodha wa Chelsea John Terry, 36, na wana uhakika Terry atajiunga na klabu hiyo.(Mirror)

Mohamed Salah anasubiri idhini ya kukwea pipa kuelekea Merseyside kukamilisha uhamisho wake kutoka Roma na kujiunga na Liverpool(Liverpool Echo)

Newcastle watakamilisha uhamisho wa pauni milioni 9 kwa mshambuliaji wa Porto na raia wa Cameroon, Vincent Aboubakar,25, na pia wametuma dau la £8.7 kumsaini beki kutoka Ebar,Florian Lejeune,26.(Daily Star)
Mchezaji wa zamani wa arsenal na meneja wa Granada, Tony Adams huenda akawa kocha mpya wa Sunderland(Daily Star)
Huddersfield waliopanda daraja msimu huu wanaendelea na mazungumzo ya kumsaini kiungo wa Chelsea Izzy Brown, ambae alikuwa hapo kwa mkopo msimu uliopita.(Telegraph)
Beki wa Coventry city, Chris Camwell amekasirishwa na ucheleweshwaji wa kujiunga na Stoke city.(Stoke Sentinel).

Endelea kufuatilia mwangatafootaball. blogspot kwa habari za uhakika.











Maoni

  1. Arsenal ni yale yale hakuna kushinda Kazi kila mwaka Wao ni kuuza tu

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bellerin kuelekea Barcelona?

Jezi mpya ya Simba SC