Costa: Chelsea hawanitaki tena

Mshambuliaji matata wa Chelsea, Diego Costa amedai Chelsea hawana mpango naye baada ya kumtumia kwa muda mrefu. Diego Costa anayechezea timu ya taifa ya Uhispania ingawa ni mzaliwa wa Brazil, ameyazungumza haya akiwa na timu ya taifa ya Uhispania.
Klabu ya AC Milan tayari imehusishwa na mshambuliaji huyo. Diego Costa ndoto zake ni kurudi Atletico Madrid lakini kwa sasa wanatumikia marufuku ya kutosajili hadi mwaka ujao.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bellerin kuelekea Barcelona?

TETESI ZA USAJILI JUMANNE 20.6.2017

Jezi mpya ya Simba SC