Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2017

Transfer News

Picha
Maduka ya kamari yameweka dau la kuashiria kuna uwezekano mkubwa wa Harry ane kuondoka Tottenham na kwenda Manchester United (Daily Star). Hata hivyo Tottenham wametupilia mbali uwezekano wa Harry Kane kwenda Old Trafford na kusema thamani ya mshambuliaji wao ni karibu pauni milioni 200 (Independent). Alex Sandro, 26, amekubali kujiunga na Chelsea huku mabingwa hao wa England wakikaribia kukamilisha mkataba wa pauni milioni 61 kumsajili beki huyo wa Juventus (Corriere della Sera). Sandro huenda akaungana na Virgil van Dijk, 25, kutoka Southampton, na mshambuliaji Romelu Lukaku, 24, kutoka Everton na kiungo mkabaji wa Monaco Tiemoue Bakayoko, 22, wakati Chelsea ikijiandaa kutumia pauni milioni 240 msimu huu (Daily Express). Arsenal na Manchester City wanafikiria kubadilishana washambuliaji, Alexis Sanchez, 28, kwa Sergio Aguero, 29 (Daily Star). Hata hivyo Alexis Sanchez ameshawishiwa na mchezaji mwenzake wa timu ya taifa, Arturo Vidal, kwa kuambiwa aachane na Arsenal na kwenda ...

Tetesi za Usajili barani Ulaya

Picha
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola anataka kusajili mabeki wanne wapya - Dani Alves, 34, kutoka Juventus, Kyle Walker, 27, kutoka Tottenham, Ryan Bertrand, 27, kutoka Southampton na Benjamin Mendy, 22, kutoka Monaco (Star on Sunday). Wanasheria wa Cristiano Ronaldo wanadai kuwa mshambuliaji huyo wa Real Madrid, alilipa kodi nyingi kupita kiasi kwa mamlaka za Spain, na sio kidogo kama inavyodaiwa (Cadena Cope). Manchester United wamempa mkataba wenye thamani ya euro milioni 7.5 kwa msimu, kiungo wa Roma Radja Nainggolan (Il Tempo). Liverpool wanataka kuongeza kasi zaidi kwa kumtaka Alex Oxlade-Chamberlain wa Arsenal baada ya kukamilisha usajili wa Mohamed Salah (Mirror). Jose Mourinho ameitaka Manchester United "kuvunja benki" na kutoa pauni milioni 100 ili kumsajili mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane na kuachana na Cristiano Ronaldo (Sunday Mirror). Arsenal watamgeukia Anthony Martial wa Manchester United iwapo watashindwa kumsajili Kylian Mbappe kutoka Monaco ...

Messi Kulipa mamilioni kukwepa jela.

Picha
Nyota wa soka duniani Lionel Messi huenda akaamua kulipa faini kukwepa kifungo cha miezi 21 jela ambacho alihukumiwa na mahakama Uhispania kwa kosa la ulaghai wakati wa kulipa kodi, taarifa Uhispania zinasema. Mwendesha mashtaka wa serikali nchini Uhispania anatarajiwa kubadilisha kifungo hicho kuwa faini ya €255,000 ($285,000; £224,000), ambayo ni sawa na €400 kwa kila siku ambayo angekaa gerezani. Uamuzi wa mwisho kuhusu kulipwa kwa faini utatolewa na mahakama. Messi, pamoja na babake Jorge, walipatikana na hatia ya kuilaghai Uhispania jumla ya €4.1m kati ya 2007 na 2009. Lionel Messi wa Iran azua gumzo Messi akutana na kijana aliyevalia jezi Afghanistan Ronaldo kushtakiwa kwa kukwepa kodi Mahakama mjini Barcelona iligundua kwamba walitumia maeneo salama kwa ulipaji kodi Belize na Uruguay ili kukwepa kulipa kodi. Kando na huku hiyo ya kifungo jela, nyota huyo wa klabu ya Barcelona pia alitozwa faini ya €2m na babake €1.5m. Walijitolea kulipa €5m "kama malipo ya kufid...

Sportpesa kusitisha ufadhili wa soka

Picha
Kampuni ya mashindano ya bahati nasibu ya kubashiri matokeo ya mechi SportPesa imetangaza kwamba itasitisha udhamini wake kwa Ligi Kuu ya Kenya (KPL) baada ya serikali kuidhinisha ongezeko ya kodi inayolipiwa mapato na kampuni na kubashiri matokeo. Afisa mkuu mtendaji wa kampuni hiyo Ronald Karauri ongezeko hilo la kodi hadi 35% litaathiri sana biashara za kampuni hiyo. Udhamini wa SportPesa kwa klabu za nje ya Kenya hautaathirika. Kampuni hiyo kwa sasa hudhamini klabu za Uingereza, Everton an Hull City. SportPesa ni moja ya kampuni kubwa zaidi za mashindano ya kubashiri matokeo ya mechi Afrika Mashariki. Kodi hiyo ya juu iliidhinishwa na serikali kama moja ya njia za kuzuia watoto na vijana wa umri mdogo kujihusisha na mashindano hayo ya ubashiri wa matokeo. Wakenya waliorodheshwa kuwa miongoni mwa watu wanaoshiriki sana katika mashindano ya bahati nasibu Afrika kusini mwa jangwa la Sahara na utafiti uliofanywa karibuni. Utafiti huo ulionesha theluthi mbili ya Wakenya wa kat...

Tetesi Za Usajili

Picha
Paris-Saint Germain wapo tayari kutoa kitita kitakachovunja rekodi ya dunia cha pauni milioni 119 kumsajili Kylian Mbappe, 18, kutoka Monaco (Mirror). Lakini Arsenal wanajiandaa kutoa dau jipya kumsajili Mbappe, huku Arsene Wenger akiwa na uhakika wa kumpata mchezaji huyo (Metro). Mbappe hana tatizo la wazo la kwenda Emirates (Telegraph). Dau la pauni milioni 100 kutoka Liverpool la kumtaka Kylian Mbappe limekataliwa (Marca). Mbappe inasemekana amekuwa na mazungumzo na meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane (L'Equipe). Meneja wa Chelsea Antonio Conte yuko tayari kumuuza kiungo Nemanja Matic, 28, kwenda Manchester United ili aweze kufanikisha usajili wa kiungo wa Monaco Tiemoue Bakayoko, 22, kwa pauni milioni 42 (The Times). Real Spciedad wamekubali kulipa pauni milioni 10 kumsajili winga wa Manchester United Adnan Januzaj, 22 (Daily Mail) Beki Matteo Darmian wa Manchester United amempigia simu Jose Mourinho na kumuomba amsaidie katika kuhamia Juventus (Sun). Mwenyekiti wa...

Tetesi za Ujali barani ulaya.

Picha
Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa, 28, atakaidi hatua ya Antonio Conte na kukataa kuondoka Stamford Bridge, hadi akubaliwe kurudi Atletico Madrid (Daily Star). Diego Costa amewaambia Atletico Madrid kuwa anataka kurejea Spain. Kutokana na Atletico kufungiwa kusajili, hata akisajiliwa sasa hatoweza kucheza hadi Januari (Sky Sports). Thibault Courtois hajasaini mkataba mpya, huku Real Madrid wakimnyatia. Kipa huyo wa Chelsea anataka mkataba wa pauni milioni 10 kwa mwaka (The Sun). Real Madrid wanasubiri Manchester United kupanda dau la kumtaka mshambuliaji Alvaro Morata, 24, kabla ya mabingwa hao wa Ulaya kuanza kumfuatilia Kylian Mbappe, 18, kutoka Monaco (Diario) Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane atafikiria kuimarisha safu ya ulinzi kwa kumchukua Leonardo Bonucci kutoka Juventus. Zidane hana mpango wa kusajili mabeki wengine na atatoa nafasi kwa chipukizi ikiwa hawatoafikiana na Juve (Diario Gol). Klabu ya China yazuiwa kumnunua Costa Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 21....

KOMBE LA MABARA

Urusi yalala kwa Ureno, New Zealand yatupwa nje kombe la mabara Wenyeji wa michuano ya kombe la mabara timu ya taifa ya Urusi wamepoteza mchezo wao wa pili dhidi ya timu ya taifa ya Ureno kwa bao 1-0 katika mchezo uliochezwa katika dimba la Spartak Jijini Moscow. Mchezaji bora duniani Cristiano Ronaldo ndie aliyefunga goli pekee katika mchezo huo katika dakika ya nane ya mchezo akiunganisha kwa kichwa krosi iliyopigwa kutoka upande wa kushoto na Raphael Guerreiro.

Arsenal latest transfer news

Picha
All the latest Arsenal transfer news and rumours from across the British and European press on Tuesday, June 20. Barcelona will offer Rafinha plus £20m for full-back Hector Bellerin as they test Arsenal's resolve in the the transfer window, according to The Sun. There are also reports in the Spanish media suggesting Barca could use the 24-year-old Spaniard as a makeweight in their pursuit of Arsenal's right-back. Arsenal are reportedly interested on Juventus star Juan Cuadrado, according to La Stampa. Juan Cuadrado has been linked with a move to Arsenal The Colombia international only joined the Serie A champions on a permanent deal last month the reports suggest both the Gunners and PSG are ready to offer £20m for the 29-year-old. Chelsea are set to enter the race to sign Alex Oxlade-Chamberlain from Arsenal, according to the Daily Mirror. Sky sources also understand the Blues have joined Liverpool and Manchester City in their efforts to sign Oxlade-Chamber...

TETESI ZA USAJILI JUMANNE 20.6.2017

Picha
Mwangata football transfer gossip: Ronaldo, Oxlade-Chamberlain, Aubameyang, Hart Chelsea wataingia mbioni kusaka huduma za Alex Oxlade-Chamberlain kutoka Arsenal huku Liverpool na Manchester city wakivutiwa na kiungo huyo kutoka England (Mirror). .Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo, 32,hataibana sana Manchester united kuhusiana na Mshahara wake mkubwa ili kuhakikisha anarudi old Trafford msimu ujao kabla ya dirisha la usajili kukamilika mwezi Agosti.( Sun) Vile vile, Manchester united wana uhakika wa kumpata Ronaldo. (Daily Express) Na meneja wa Man U José Mourinho amekataa kumsajili Ronaldo (Daily Star) Mabingwa wa LA liga real Madrid hawajapokea ofa ya mchezaji yoyote-hata Alvaro Morata anayewindwa na man U-hii ni kulingana na rais wa Real Madrid Florentino Perez. (Onda Cero, via the Sun). Manchester City wanaandaa dau la kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund na raia wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang,28.(Sky sports). are preparing a bid for Borussia Dortm...

Tetesi za usaliji barani Ulaya Jumatatu 19.6.2017

Picha
Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amemwambia wakala wake Jorge Mendes kufanikisha uhamisho wake kurejea Manchesyer United  (Sun). Manchester United watawapa Real Madrid David de Gea, 26, pamoja na pauni milioni 183, ili kumsajili Cristiano Ronaldo, 32 pamoja na Alvaro Morata, 24 (Tuttosport). Manchester United itawapa Real Madrid David de Gea pamoja na pauni milioni 175 kumchukua Ronaldo, na pia watamfuatilia Alvaro Morata katika mkataba mwingine tofauti (Daily Mirror). Iwapo De Gea atakwenda Real Madrid, Manchester United watamfuatilia kipa wa AC Milan Gianluigi Donnarumma, 18 (Calciomercato) Meneja wa Manchester United Jose Mourinho hamtaki Ronaldo kwa sababu anahisi kiwango chake kimeanza kushuka (Diario Gol). Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane amempigia simu Ronaldo kujaribu kumshawishi asiondoke Madrid (Marca). AC Milan huenda wakaamua kumfuatilia kipa wa Manchester City Joe Hart, 30, iwapo kipa wao Donnarumma ataondoka (Daily Express). Mshambuliaji wa...

Tetesi za usajili barani Ulaya

Picha
Real Madrid wamesema timu itakayomtaka Ronado italazimika kulipa pauni milioni 350. Real wana matumaini kuwa bei hiyo huenda ikawakatisha tamaa Paris Saint Germain na Manchester United zinazomtaka Ronaldo (Mail on Sunday). Lakini washauri wa Ronaldo wanasema ada ya pauni milioni 131 itatosha kumsajili mchezaji huyo ambaye anataka "changamoto mpya" (Sunday Telegraph). Chelsea wameibuka na kusema wanamtaka Cristiano Ronaldo, huku mmiliki Roman Abramovic akisema yuko tayari kuvunja rekodi ya dunia ya usajili (Sunday Express). Rais wa Real Madrid Florentino Perez amemuambia Ronaldo kuwa hatomzuia iwapo anataka kuondoka Spain (Marca). Ronaldo atabakia Real Madrid iwapo klabu hiyo itakubali kumlipia kodi anayotuhumiwa kudaiwa ya pauni milioni 13 (Sunday Mirror). Paris St-Germain wanajiandaa kumfanya Cristiano Ronaldo kuwa mchezaji aghali zaidi duniani, baada ya kusikia kuwa anataka kuondoka Madrid (Don Balon). Manchester City nao wamewasiliana na Cristiano Ronaldo baada ya k...

Manchester United close to signing Morata

Picha
  Alvaro Morata's agent talked with Real Madrid on Wednesday, say Spanish reports Jose Mourinho still sees Alvaro Morata . Morata is seen as the best replacement for zlatan Ibrahimovic. Coach zidane has made it clear that he wants Morata to stay but lack of regular playing time has made Alvaro to look for more playing time and the destination is likely to at Old Trafford.

Tetesi za za Usajili barani Ulaya

Picha
Mshambuliaji Alvaro Morata, 24, huenda akakamilisha uhamisho wake wa pauni milioni 65 kutoka Real Madrid kwenda Manchester United mapema wiki ijayo (Daily Mirror). Mshambuliaji wa Monaco, Kylian Mbappe amesema itabidi'afanye uamuzi' kuhusu wapi aende huku Arsenal na Real Madrid wakimtaka chipukizi huyo wa miaka 18 (Daily Mail), nao Liverpool lazima walipe pauni milioni 35.5 iwapo wanataka kumsajili winga Mohamed Salah kutoka Roma (Daily Mirror). Arsenal wamedhamiria kukataa dau lolote kutoka Manchester City au Chelsea la kumsajili Alexis Sanchez (Independent), Southampton wanafikiria kutaka kumchukua meneja wa zamani wa Borussia Dortmund, Thomas Tuchel, baada ya kumfukuza kazi Claude Puel (Daily Express). Manchester City watajaribu kupunguza gharama za usajili kwa kuuza wachezaji wake wenye thamani ya pauni milioni 130, wakianza na kipa Joe Hart, 30, na mshambuliaji Kelechi Iheanacho, 20 ambao City wana matumaini ya kupata pauni milioni 25 kwa kila mmoja wao (Mancheste...

NYOSO. Nifuate niko poa

Picha
Beki wa zamani wa simba na Mbeya city sasa yupo huru baada ya kukamilisha kuitumikia adhabu ya miaka miwili aliyowekewa. Amesema yupo fiti na anasubiri nani atakosa mezani kumsainisha mkataba. Je ni Msimbazi au kwengine?? Tegea hapa hapa utajua kila kila kitu.

Man U wasajili jembe

Picha
Klabu ya soka ya Manchester United imemsajili mchezaji wa sehemu ya ulinzi kutoka Sweden,Victor Lindelof kwa pauni milioni 31. Hapo jana United ilithibitisha kuwa tayari inakamilisha taratibu za kumsajili beki huyo, ambaye atakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na kocha Jose Mourinho kipindi hiki cha majira ya kiangazi. Lindelof anatokea klabu ya Benfica ya nchini Ureno aliyojiunga nayo mwaka 2012. Mkataba wa Lindelof utakuwa wa miaka minne katika klabu hiyo ya Manchester United.

Tetesi za usajili barani Ulaya

Picha
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger anashughulikia uwezekano wa kununua wachezaji watatu wa kimataifa wa Ufaransa, huku akijiandaa na wachezaji kadhaa kuondoka Emirates. Wenger anataka kuwasajili Kylian Mbappe, 18, na Thomas Lemar, 21, kutoka Monaco na Alexandre Lacazette, 26, kutoka Lyon (Daily Telegraph), rais wa Lyon Jean-Michel Aulas amesema Arsenal wanaweza kumchukua Lacazette iwapo watawapa Olivier Giroud pamoja na pauni milioni 60 (Le10Sport), West Ham wanamtaka Giroud, 30, ambaye amesema hataki kukaa benchi Emirates (London Evening Standard). Meneja wa Everton Ronald Koeman anawanyatia wachezaji watatu- kiungo wa Ajax Davy Klaassen, 24, Gylfi Sigurdsson, 27 kutoka Swansea na beki Michael Keane, 24 kutoka Burnley (Daily Express). West Brom nao wameanza mazungumzo ya kumsajili nahodha wa zamani wa Chelsea John Terry, 36, ambaye pia anasakwa na Aston Villa (Sky Sports), Manchester City wako tayari kupunguza bei ya Samir Nasri ya Pauni milioni 16, kwa kuwa hakuna timu inamuul...

Ranieri: Apata kazi Ufaransa

Picha
Meneja wa zamani wa Leicester Claudio Ranieri ni meneja mpya wa klabu ya Nantes, ya Ufaransa. Klabu hiyo ya Ligue 1 walipewa ruhusa maalum na wasimamizi wa Ligi Kuu ya Ufaransa kumsajili Mtaliano huyo, ikizingatiwa kwamba alitimiza umri wa juu zaidi unaoruhusiwa kwa waamuzi, ambao ni miaka 65. Ranieri aliwaongoza Leicester City, kujinyakulia taji la klabu bingwa ulaya msimu wa 2015 -16 na kuongeza umaarufu kwa klabu hiyo. Lakini alipigwa kalamu mwezi Februari, ambapo klabu hiyo ilikuwa ikijipata katika hatari ya kushushwa daraja baada ya kupoteza kwa mfululizo mara tano kwenye ligi. Ranieri alichukua uongozi baada ya Sergio Conceicao winga wa zamani wa kushoto wa Ureno kuondoka Nantes na kujiunga na Porto. Conceicao, 42, alichukua uongozi katika klabu hiyo ya Ligue 1 mwezi Desemba mwaka 2016 na kupata ushindi mara nne katika ligi na kumaliza katika nafasi ya saba katika jedwali la timu bora za Ufaransa. Ranieri ana uzoefu wa kufanya kazi nchini ufaransa, alipoiwezesha Monaco kupa...

Arsenal premier League Fixture 2017/18

Picha
August.         12 Leicester (H) 19 Stoke city (A) 26 Liverpool (A) September 9 AFC Bournemouth ( H) 16 Chelsea (A) 23 Westbrom (H) 30 Brighton Albion (H) October 14 Watford (A) 21 Everton (A) 28 Swansea (H) November 4 Manchester city (A) 18 Tottenham (H) 25 Burnley (A) 28 Huddersfield united (H) December 2 Manchester United (H) 9 Southampton (A) 12 WestHam (A) 16 Newcastle united (H) 23 Liverpool (H) 26 Crystal Palace (A) 30 Westbrom (A) January 1 Chelsea (H) 13 AFC Bournemouth (A) 20 Crystal Palace (H) 30 Swansea (A) February 3 Everton (H) 10 Tottenham (A) 24 Manchester city (H) March 3 Brighton Albion (A) 10 Watford (H) 17 Leicester city (A) 31 Stoke city (H) April 7 Southampton (H) 14 Newcastle united (A) 21 WestHam (H) 28 Manchester united (A) May 5. Burnley (H) 13 Huddersfield united (A)

Time is ticking for Arsenal

Picha
Arsenal began this summer enshrouded in uncertainty. The future of Arsene Wenger may now be resolved but there remain huge question marks over the fate of several key players. Mesut Ozil, Alex Oxlade-Chamberlain and Theo Walcott have all been linked with moves away from the club. However, there is no case more critical than that of Alexis Sanchez. The sooner the Gunners can settle the Chilean's future, the sooner they can set about their transfer business in earnest. Arsenal are one of the few clubs to have already made a signing this summer. Bosnian Sead Kolasinac has arrived on a free transfer from Schalke, and seems primed to inherit the left-wing-back role in Arsenal's new 3-4-2-1 system. However, it's what happens with Sanchez that will determine how Wenger allocates the rest of his resources. The situation is complex. Arsenal's top scorer has just 12 months remaining on his current deal, and seems to be stalling on the possibility of signing a contract e...

Uefa kutoa tuzo tano

Picha
Shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) limetangaza kuanza kutolewa kwa tuzo tano mpya za wa chezaji bora wa mwaka kuanzia Agosti hii ambazo washindi wake watapatikana toka kura za makocha na wanahabari. Tuzo hizo zitakabidhiwa huko Monaco nchini Ufaransa hapo Agosti 24 wakati wa droo ya makundi ya ligi ya mabingwa Ulaya. Tuzo hizo 5 mpya ni kwa wachezaji waliofanya vyema kwenye mashindano ya klabu ya UEFA kwa msimu uliopita, kwa mwaka 2016/17,na zitatolewa sambamba na za mchezaji bora wa mwaka kwa wanaume na na wanawake.

Brazil yafanya mauaji. Yaichapa Australia 4-0

Picha
Mechi za kirafiki za kimataifa kwa kalenda ya shirikisho la kandanda Ulimwenguni ( Fifa ) zimepigwa usiku wa kuamkia leo kwa Michezo kadhaa. Nchini Australia ,Brazil wakiwa ni wageni wamewatandika wenyeji Australia bao 4-0 mbele ya Mashabiki wao lukuki. Brazil wakicheza bila ya Nyota wao Neymar waliandika bao la kwanza kupitia Diego Souza na walifanikiwa kupachika Bao la Pili dakika ya 62 kupitia Thiago Silva na dakika ya 75 Taison akapachika bao la 3 na kisha Diego Souza kufunga ukurasa wa magoli kwa kuandika bao la nne dk 93 kipindi cha pili.

Kombe la Carling nchini uingereza kubadilishwa jina

Picha
Michunao ya kombe la ELF cup ya nchini England kwa sasa itajulika kama Carabao Cup kutokana na kupata udhamini mpya wa kampuni ya Carabao ya nchini Thailand Kampuni hiyo inayotengeneza Kinywaji cha kuongeza nguvu mwilini imesaini mkataba wa miaka mitatu wa kudhamini michuno hiyo. Ratiba ya kupanga droo ya mechi za raundi ya kwanza ya zamichuano hiyo itafanyika ijumaa hii huko Bangkok, Thailand. Michezo ya kwanza itafanyika kati ya Agosti 8 na 9 nc mchezo wa fainali utapigwa katika dimba la Wembley Februari 25, 2018. Klabu ya Manchester United ndio bingwa mtetezi wa michuano hiyo.

JE UNAHITAJI UTABIRI/UBASHIRI WA MECHI MBALIMBALI?

Picha
Mwangata football imekuja kivyengine. Tunakuletea ubashiri wa kila mchezo unaohitaji ili kukufurahisha wewe shabiki wetu. Tumefanya majaribio kwa kipindi cha miezi sita na outcome imekuwa perfect. Hakuna kutozwa ada kwa mechi tutakazotabiri.Endelea kufuatilia blogspot yetu kwa kila kitu unachohitaji kispoti. Tembelea ukurasa wetu wa facebook mwangatafootball kila siku upate kile unachohitaji.

Arsenal Summer Briefing

Man Utd kumtema Ibrahimovic

Picha
Timu ya Man united huenda isimuongeze mkataba mpya mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic, mkataba wake wa sasa unamalizika Juni 30. Zlatan mwenye miaka 35 alisaini mkataba wa mwaka mmoja na kukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi. Lakini mpaka sasa hakuna mjadala wa mkataba mpya na jeraha la goti alilopata mwezi April katika mchezo wa kombe la Europa ligi huenda likaongeza chachu ya kutopewa mkabata mpya. Mshambuliaji huyu amecheza michezo 46 msimu huu na kufunga magoli jumla ya magoli 28

Klabu 5 ambazo Diego Costa anaweza kuamua kujiunga na moja kati ya hizo

Picha
Muhispania huyo amewaambia waandishi wa habari kwamba meneja Antonio conte amemtumia ujumbe kkuwa hana mipango naye msimu ujao. Mshambuliaji huyo matata amewaeleza wanahabari nchini Uhispania kwamba meneja Antonio conte amemtumia ujumbe kwamba hana mipango naye msimu ujao.Aliyasema haya wakati nchi yake ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Colombia siku ya Jumatano. Je costa Ataelekea wapi? Hizi hapa ni timu 5 ambazo anaweza kujiunga nazo. 1. Chinese Super League Costa aliwahi kuhusishwa na China mwaka jana.  os  China kutamfaa zaidi costa Costa hasa ukiangalia umri unavyokwenda na mkwanja atakaopokea.Matajiri wa China wanataka kumfanya Costa awe mchezaji anaepokea Mshahara mkubwa duniani. Je Costa Costa atafuata mpunga china? 2. Atletico Madrid Amehusishwa na klabu yake ya zamani Atletico Madrid lakini klabu hiyo kwa sasa imepigwa marufuku ya kutosajili mchezaji yoyote mpaka mwaka ujao,hata hivyo anaweza kutia saini na klabu hiyo lakini ajiunge n...