Watu Zaid ya 20 wahofiwa kupoteza maishaWatu ZAIDI ya 20 wanahifiwa kupoteza maisha yao baada ya basi waliloabiri kusombwa na maji katika mto Enziu,kaunti ya kitui. Wananchama Hawa wa Mwingi Catholic church walikuwa wakielekea kwenye sherehe ya kufunga ndoa. Tunawaomba madereva na watumiaji wa vivuko mbalimbali kuwa makini hasa katika kipindi hiki ambapo mvua zimeanza kunyesha. Pole Kwa waliofikwa na Msiba huu. Mungu azilaze roho za Wendazake mahali pema kwa Msamaha na mapenzi yake.
Watu ZAIDI ya 20 wanahifiwa kupoteza maisha yao baada ya basi waliloabiri kusombwa na maji katika mto Enziu,kaunti ya kitui. Wananchama Hawa wa Mwingi Catholic church walikuwa wakielekea kwenye sherehe ya kufunga ndoa. Tunawaomba madereva na watumiaji wa vivuko mbalimbali kuwa makini hasa katika kipindi hiki ambapo mvua zimeanza kunyesha. Pole Kwa waliofikwa na Msiba huu. Mungu azilaze roho za Wendazake mahali pema kwa Msamaha na mapenzi yake.