Machapisho

Rangnick anakiri Man Utd 'haikucheza vizuri hata kidogo' wakati wa kushindwa kwa Wolves

Picha
Meneja wa Manchester United Ralf Rangnick amekosoa kiwango cha timu yake katika kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Wolves. Mashetani Wekundu walionyesha matokeo duni huku bao la Joao Moutinho likiihakikishia timu ya Bruno Lage pointi zote tatu usiku huo. Manchester United walianza usiku wa kuamkia leo wakiwa nafasi ya saba kwenye msimamo wa ligi, pointi nne nyuma ya Arsenal katika nafasi ya nne wakiwa na michezo miwili mkononi. Hata hivyo, kupoteza huku ni pigo kubwa kwa Mashetani Wekundu katika mbio za kumaliza ndani ya nne bora. Akitafakari uchezaji wa Manchester United baada ya mchezo huo, Rangnick alikuwa katika hali ya kuchanganyikiwa na kukosoa mtindo wa uchezaji wa timu yake usiku. Alisema: "Hatukucheza vizuri hata mmoja mmoja au kwa pamoja. Kipindi cha kwanza tulikuwa na matatizo makubwa ya kuwaweka mbali na lango letu. Kipindi cha pili tulibadilika na kuwa nyuma kwa matatu na tukadhibiti zaidi baada ya dakika 15. dakika ambazo tungeweza kufunga." Alipoulizwa kuhusu aina...

Watu Zaid ya 20 wahofiwa kupoteza maishaWatu ZAIDI ya 20 wanahifiwa kupoteza maisha yao baada ya basi waliloabiri kusombwa na maji katika mto Enziu,kaunti ya kitui. Wananchama Hawa wa Mwingi Catholic church walikuwa wakielekea kwenye sherehe ya kufunga ndoa. Tunawaomba madereva na watumiaji wa vivuko mbalimbali kuwa makini hasa katika kipindi hiki ambapo mvua zimeanza kunyesha. Pole Kwa waliofikwa na Msiba huu. Mungu azilaze roho za Wendazake mahali pema kwa Msamaha na mapenzi yake.

Watu ZAIDI ya 20 wanahifiwa kupoteza maisha yao baada ya basi waliloabiri kusombwa na maji katika mto  Enziu,kaunti ya kitui. Wananchama Hawa wa Mwingi Catholic church walikuwa wakielekea kwenye sherehe ya kufunga ndoa. Tunawaomba madereva na watumiaji wa vivuko mbalimbali kuwa makini hasa katika kipindi hiki ambapo mvua zimeanza kunyesha. Pole Kwa waliofikwa na Msiba huu. Mungu azilaze roho za Wendazake mahali pema kwa Msamaha na mapenzi yake.

Messi reveals the reason why he sings anthem today and talks about his son Mateo

Picha
Messi joined his teammates in singing his country's national anthem before their Copa America quarter-final. After the win, TyC journalist asked Argentina captain why he decided to sing the anthem. The reason is simple. Messi told the journalist that: Today I felt like it. I wanted to do it, and I sang it. Messi's family also present on the stand to cheer for Argentina today, and Mateo, his second son, is the most active. When talks about his villain, Messi says: Mateo has a lot of free time. He gets bored and starts to do shit (laughs). I'm happy that my kids are there, enjoying themselves, and more when we win.

CAF yatathmini kubadili tarehe ya mashindano barani Afrika

Picha
Kombe la taifa bingwa barani Afrika huenda likahamishwa hadi msimu wa joto kama sehemu ya mazungumzo yaa shirikisho la kandanda barani Afrika. Kuandaliwa mashindano hayo miezi ya Januari na Februari imeghadhabisha vilabu vya bara Ulaya ambapo wachezaji wengi wa kiafrika hucheza. Pia idadi ya timu zinashoriki huenda ikaongezwa kutoka 16 hadi 24. Wachezaji wengine walikataa ombia la kuwataka kujiunga nchi zao kushirikia mashindani ya mwaka huu, yaliyoandaliwa nchini Gabon na kuamua kubaki na vilabu vyao. Hao ni pamoja na wachezaji kadha kutoka Cameroon ambao walitaka kujiunga na timu ambayo hata hivyo ilishinda kombe hilo. Hao ni pamoja na wachezaji kadha kutoka Cameroon ambao walitaka kujiunga na timu ambayo hata hivyo ilishinda kombe hilo. Kila baada ya miaka miwoli mzo huibuka kati ya vilabu vya Ulaya na nchi, vinavyodai kuwapoteza wachezaji wakati wanahitaji sana. Kwa mujibu wa vilabu hivyo mara nyingi wachezaji hurudi vilabuni wakati wamechoka baada ya kuishiriki mechi za ...

Tetesi za usajili barani Ulaya. Jumatano 19.7.2017

Picha
Mshambuliaji wa Barcelona Neymar, 25, amekubali dau la Paris Saint-Germain, baada ya klabu hiyo ya Ufaransa kuwa tayari kutoa pauni milioni 195. (Esporte) Makamu wa rais wa Barcelona Jordi Mestre amesisitiza kuwa Neymar hatoondoka Barcelona wakati wowote ule. (Star) Mtaalam wa soka wa Amerika ya kusini Tim Vickery amesema Neymar huenda akaondoka Barcelona ili kuepuka kuwa chini ya kivuli cha Lionel Messi. (BBC Radio 5 Live) Kiungo wa Everton Ross Barkley, 23, anataka mshahara wa pauni 150,000 kwa wiki ili kujiunga na Tottenham, huku klabu yake ya Everton ikitaka pauni milioni 50 kama ada ya uhamisho. (Mirror) Tottenham watalazimika kumlipa kiungo Moussa Sissoko, 27, ili aondoke, licha ya kutoa pauni milioni 30 kumsajili mwaka jana tu. (Daily Mail) Arsenal watajaribu kutaka kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzima, 29, iwapo Alexis Sanchez, 28, ataondoka Emirates. (Don Balon) Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema Alexis Sanchez, 28, anayesakwa na Manchester City, ...

Tetesi za soka barani Ulaya

Picha
Real Madrid wanafikiria kumuuza mshambuliaji Gareth Bale, 27, ili kupata fedha za kumnunua Kylian Mbappe, 18, kutoka Monaco. (Sunday Express) Meneja wa Arsenal Arsene Wenger anaamini Kylian Mbappe atabakia Monaco kwa msimu mmoja zaidi. (Sun on Sunday) Dau la Chelsea la pauni milioni 88 la kumtaka mshambuliaji wa Juventus Gonzalo Higuain, 29, limekataliwa. (Tuttosport) Kuna wasiwasi kuhusu hatma ya meneja wa Chelsea Antonio Conte, 47, baada ya mazungumzo ya mkataba mpya kusuasua. (Sun on Sunday) Liverpool wanatarajiwa kupanda dau jipya kutaka kumsajili kiungo wa RB Leipzig, Naby Keita, 22 wiki ijayo, baada ya dau la pauni milioni 57 kukataliwa. (Sunday Mirror) Kumekuwa na wasiwasi zaidi kuhusiana na mustakbali wa Alexis Sanchez, 28, baada ya kusema anataka kucheza Klabu Bingwa Ulaya. (ESPN) Manchester City wanaongeza juhudi zao za kutaka kumsajili beki wa kushoto wa Monaco, Benjamin Mendy, 22, kwa pauni milioni 50 hii ni baada ya Tottenham kukataa kuwauzia Danny Rose, 27. (S...

Tetesi za Usajili barani Ulaya: Ijumaa 14.7.2017

Picha
Chelsea wameambiwa wanaweza kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Pierre Emerick-Aubameyang, 28, kwa pauni milioni 60 baada ya Tianjin Quanjian ya China kusema haitaki tena kumsajili mchezaji huyo. (Daily Mail) Borussia Dortmund huenda wakaamua kumfuatilia mshambuliaji wa Arsenal Olivier Giroud, 30, ambaye pia anasakwa na Everton, West Ham, Marseille na AC Milan. (Daily Mirror) Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard, 26, amempigia simu meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane na kumuambia hana mpango wa kuondoka Chelsea msimu huu. (Diario Gol) Chelsea wamefikia makubaliano na Monaco ya kumsajili kiungo Tiemoue Bakayoko, 22, kwa pauni milioni 40 kwa mkataba wa miaka mitano. (RMC) Meneja wa Chelsea anajiandaa kumuuza kiungo Nemanja Matic, 28, kwa pauni milioni 40. Matic amekuwa akifanya mazoezi peke yake na anataka kuungana na Jose Mourinho Old Trafford. (Daily Telegraph) Barcelona wanataka kumsajili beki wa Chelsea Cesar Azpilicueta baada ya kushindwa kumpata Hector Bellerin wa...